Mhe.Job Ndugai,Mb. Naibu Spika na Kiongozi wa Msafara wa Wabunge wa Tanzania akiwa katika mazungumzo na Mhe.Mohamed Habib Mnyaa (kulia) ambae pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Viwanda na Biashara katika Bunge la Nchi za SADC.Kushoto ni Mhe.Anna Abdallah ambae pia ni mjumbe wa Tanzania katika Bunge hilo akiwakilisha wanawake. Picha na Saidi Yakubu wa Ofisi ya Bunge.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Huu mgogoro baina yetu na jirani hauna msingi.Sisi na Malawi tukubali kufuta mipaka ya kikoloni, we sould become one country, we are all Africans, wabantu.Enzi hizo za utoto wetu jamaa medical assistants karibu wote waliotulea na kututibu malaria walikuwa wanyasa, wakina Nyirenda.Walimu, wafanya biashara walikuwa wavuka ziwa kuja upende huu kama ni kwao pia, sasa huu ukhasama umeletwa na nini na kufanya hiki changu, hiki chako?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...