Mkurugenzi wa Kibodya hotel Bw. Mohamned Kibodya akipakia vitu vya kupelekea wagonjwa mkono wa Eid katika hospital
ya Ocean road jijini Dar es salaamLeo
Mkurugenzi wa Kibodya
Hotel Bw. Mohamed Kibodya akimpatia chakula cha mchana na zawadi za Eid mmoja wa wagonjwa
hospitalin i hapo
Mama Kibodya akitoa
zawadi za Eid katika hospital ya Ocean Road Leo
Bw. Mohamed Kibodya akisikiliz a
maelezo ya wagonjwa kutoka kwa Dkt Ayuob
Wafanya biashara wa dar wakiwa katika hospital ya Ocean Road baada ya kutoa zawadi za Eid kwa wagonjwa leo. Chini wakipandisha vyakula wodini |
Heri ya idi wadau, napenda kuchukua nafasi hii kuwapongeza familia ya Kibodya kwa moyo wa upendo kwa wagonjwa. Huu ndio uislamu tunaoufahamu hapa Tanzania miaka yote, mungu awajalie baraka zake, mzidi kuwa na upendo na waislamu wenzangu na watanzania kwa ujumla tuige mfano huu wa familia ya Kibodya ya kuishi kwa kupendana.
ReplyDeleteNapenda pia kuchukua nafasi hii kulaani vikali vitendo vya kihuni vinavyofanywa na kikundi cha watanzania wachache wajulikanao kama waislam wa siasa kali, naomba watanzania wenzangu tuungane kukemea vitendo vyao viovu na kama wanaishi jirani au watu mnaowafahamu muwakemee vikali na kuwaripoti kwenye vyombo husika, mungu ibariki Tanzania tujalia upendo na amani. Ameen