Mkulima wa mpunga katika kijiji cha Usa River,Mkoani Arusha Bwana Vincent Urassa akimpa zawadi Rais Dkt.Jakaya Kikwete kwa niaba ya wakulima wa Tanzania kwa kutambua mchango wa Rais Kikwete katika kuleta mapinduzi ya kilimo nchini kwa manufaa ya wananchi.Bwana Urassa alikabidhi zawadi hiyo mwishoni mwa mkutano wa African Green Revolution Forum 2012 uliofanyika katika hoteli ya Ngurdoto Mountain Lodge mjni Arusha(picha na freddy Maro).
Home
Unlabelled
Wakulima wampa Zawadi Rais Kikwete
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...