Washiriki wa semina ya Online Journalism wakiwa katika picha ya pamoja na mkufunzi wa semina hiyo Lukelo Filex Mkami (katikati) mara baada ya kumalizika kwa semina hiyo nje ya hotel ya Olasiti iliyopo jijini Arusha.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ok wanahabari maisha magumu, lakini angalia "mkenue" kwa ajili ya taswira,waliotabasamu ni binti mwenye sweta la zambaru, binti wyenye kitop cha bluu, binti mwenye to ya waridi na njema mwenye fulana ya kahawia, wengine mmeukunja utafikiri mnaenda vitani,au kuma vile mmebwia shubiri, "It takes few muscles and less effort to smile than to frown"

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...