Waziri
Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini
Uingereza,Mh. Peter Kallaghe wakati akiwasili kwenye ofisi za Ubalozi
nchini Uingereza alipofika kukutana na kuzungumza na Watanzania waishio
nchini humo.Katikati ni Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda.
Waziri
Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akizungumza na Watanzania waishio nchini
Uingereza (hawapo pichani) katika mkutano uliofanyika hivi karibuni
kwenye Ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini humo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...