Waziri mkuu mh Mizengo Pinda
atakutana na watanzania waishio UK dhumuni likiwa ni kuzungumzia mustakabali wa
maendeleo ya nchi yetu kisiasa, kiuchumi, n.k.
Pamoja na hayo pia maswala
yaliyozungumzwa kwenye ziara yake ya mara ya kwanza yataelezewa.
Siku: Jumanne 16, October 2012
Mahali: Tanzania High Commission
Time: 17:00 jioni (saa kumi na moja jioni).
Inashauriwa wale wote wanaopenda
kuhudhuria wajiandikishe kupitia email:
Wote mnakaribishwa.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...