Uwanja wa Ally Hassan Mwinyi uliopo mkoani Tabora unavyoonekana wakati wa michezo ,hapa ilikuwa ni moja ya michezo ya ligi daraja la kwanza Taifa inayoendelea,mchezo ulikuwa ni kati ya timu za Rhino ya Tabora
na Mwadui ya Sinyanga. Uwanja huu ndio pekee unaoweza kuchukua mashabiki pamoja na vyombo
vyao vya usafiri. Picha na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Moshi aliyekuwa Tabora.
subirini mpaka kuwe na mkutano wa mh.kikwete ndio kiwanja chenu kitajengwa walau kidogo na kupigwa rangi.
ReplyDelete