Home
Unlabelled
umbea wa nathan mpangala
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kweli kabisa! hawa wanaojiita wanamuziki wa bongo flava hulia watu wanapokopi nyimbo zao lakini wakati huo huo kila leo wao wenyewe wanakopi beats za wanamuziki wa nchi za nje wakidhani watanzania hawatagundua hilo. Ukweli ni kuwa tunajua kabisa kuwa asilimia kubwa ya beats za nyimbo zao ni za kuiba/kuiga na sio zao na wala hawapewi ruhusa kuzitumia.
ReplyDeletehuu ujinga ujinga wa So called wanamuziki wa bongo fleva ,unaanza kwisha maana hawana muziki wowote zaidi ya kukopi beat za kimerikani na kutulazimisha wasikilizaji tuwakubali,
ReplyDeletebora muziki wa dansi
Mziki wa dansi nao wanacopy Congo, bora ngoma za asili ambazo mimi huwa nazifagilia siku zote
ReplyDeleteMambo yote Asha Mwanasefu, Mv Mapenzi, Mwanameka,Georgina, kwenye penzi, Ajuza, Safari yetu Mbeya, Cheusi mangala, Edita, Majirani Huzima radio, Edita, Mayasa, bab mkwe, maimuna, Rosa, Rangi ya chungwa, Asha, NA NYINGINE NYINGI TU.
ReplyDeleteSiku zote cha kuiga hakidumu. Fleva si muziki japo radio kibao zinalazimisha kutufanya tuupende huo muziki ila sasa unaanza kufifia baada ya ukweli kuanza kuonekana. mambo yote ni muziki wetu wa asili wa dansi. Na hizo bendi zinazoiga mapigo ya Congo tafadhali muache, tunataka muziki wetu wa dansi wa asili.
ReplyDeleteAnony Fri Nov 09, 10:20:00 PM 2012 atakuwa ni bongo fleva.
ReplyDelete