Mhe.Dk.Hussein Mwinyi (Mb,)Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii amewasili Washington DC kwa ziara ya kikazi ya siku tatu kufungua rasmi mkutano wa Magonjwa ya Tropiki Yaliyosahauliwa(Neglected Tropical Diseases), mkutano ambao utadumu kwa siku tatu. Pichani Dk.Hussein Mwinyi akipokewa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dulles na Bw.Suleiman Saleh, Afisa wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Washington DC. 
---

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...