Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. yaaani!!! furaha tele, mwanamke wa shoka, big darini(up) dada!!

    ReplyDelete
  2. Mwanaume huyo bwege!!

    ReplyDelete
  3. kasheshe tupu! Huyo dada inaelekea walimkwepa cku nyingi. Jamaa alivyojikoki tuu kosa! Imekula kwake... Naye aache kuvizia mademu hovyo hovyo!!!

    ReplyDelete
  4. Huyo Demu yupo ki timu ya Mauzo, hapo hakuna nini wala nini!

    ReplyDelete
  5. Ili kuivuta fedha ya huyo Bwege kirahisi demu anatumia mbinu ya 'big sound' yaani sauti kubwa na mkwara mwingi, kumbe ndio kwanza anataka!

    Kama alikuwa hataki kwa nini achukue namba ya simu ya jamaa?

    ReplyDelete
  6. Usibipu...wewe ukipiga watu wanapiga!!! Hahahahaha Raha jipe mwenyewe!

    ReplyDelete
  7. Waganda utawajua tu,na hasa ndivyo walivyo japo hii ni acting.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...