Home
Unlabelled
Kali TV Online: This week, meet Fredinah Peyton a.k.a Rah P
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
watanzania wanafikiri kuja Marekani ni mchezo hasa kama kwenu hovyo.
ReplyDeletenimemwonea huruma,but am happy kwamba hajapoteza moyo kufikia lengo lake katika maisha.
we all fall into some sort of bad wave,the important thing,is to wake up,get yourself together and move on.
RAH P,Mungu yupo....utafikia dream yako sister.
usikate tamaa.
Raha P, ni Dj Kaycee hapa mu houston mwenzako....Kwanza pole kwa yote na Hongera kwa kuweka maisha yako wazi ki namna hiyo. Trust me hauko peke yako, watu wengi sana tunapitia hali hizo sema wengine hawapendi kukubali kwamba they made the wrong moves. But i'm sure tukisema tunyooshe vidole basi asilimia zaidi ya 65 watakuwa wamepita au bado wanapita huko. So wewe umeona njia mshukuru mungu kwa watoto wako na utambuzi wa maisha yako mapya! Tuko pamoja na Asante kwa ku share stori yako! Mungu akubariki.
ReplyDeleteTunakupenda Rah P, utakuwa poa wetu, hayo yote ni mambo ya maisha tunayopita.....
ReplyDeleteusijali njoo nikuoe na nitatake care watoto natafuta mke usijali tupo pamoja kwa maombi..
ReplyDeleteTuko pamoja kwa maombi Usikate tamaa.. ni mimi shabiki wako namba moja kuanzia single yako ya kwanza HAYAKUHUSU..Is me Bwimbousa.
ReplyDeleteDJ Kaycee nami naungana na wewe. Angekuwa single tungesema mengine lakini as long as tayari ana kids, sasa inabidi afikirie fyucha yao vile vile zaidi ya mapambano yake binafsi kwa yaliyotokea. anachofanya sasa ndo destini ya hao kids. No mata wat yu thinki AFRICAN AMERICANS HAV A LOT OF ISSUES!!!!!!!!!
ReplyDeleteRAH P HIYO NGOMA ILETE BONGO NA WEWE MWENYEWE RUDI BONGO NA WATOTO!
ReplyDeleteUko tayari kwa ndoa ya Kiislamu ya kuwa Mke wa pili?
ReplyDeleteKama ni watoto nitawalea mimi mumeo Mtarajiwa nikiwa Bongo.
Isipokuwa itabidi urudi Tanzania, siwezi kukubaliana na wewe kufanya kazi Marekani mimi nikiwa Bongo, kama ni U-DJ wako njoo utangazie Redia na Runinga za hapa nyumbani!
ReplyDeletePole SANA and thanks for sharing.
My advice is find ways to study while somehow raising those cute kids. DON'T FALL IN LOVE FOR THE TIME BEING, REASON? Same might happen again.
Dunia imekwisha, huko marekani na ulaya kumegeuka, njaa na ugumu wa maisha vinawatembelea na wao pia.
Hivyo basi, you really need to work an extra mile to raise those children, it will be tough.
You need to have to live with someone to lighten up the burden of life, but again, it's going to be complicated again.
It is complicated, the good thing is that you got spirit. KEEP IT AND FIGHT, IT'S NOT GOING TO BE EASY.
Last but not least, you can always come back home. You have a better chance at home with your kids than there, they are Americans, they would always go back home.
TZ as long as you have the WORK spirit, life is not bad.
Think about it, and may god bless you.
This time YANATUHUSU, as wewe ni dada yetu, mhangaikaji mwenzetu, mTZ mwenzetu.
S M I L E.