Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bwana Seith Kamuhanda akikagua moja ya majengo ya Baraza la Kiswahili Tanzania (BAKITA) alipofanya ziara ya ukaguzi wa Ofisi hizo mpya zilizopo Kijitonyama Jijini Dar es Salaam.Anaemuelekeza kushoto ni Mtendaji Mkuu wa Bakita Dkt. Selemani Sewangi.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bwana Seith Kamuhanda akiongea na watumishi wa Baraza la Kiswahili Tanzania (hawapo pichani) alipofanya ziara ya ukaguzi wa Ofisi hizo mpya zilizopo maeneo ya Kijitonyama Jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Mtendaji Mkuu wa BAKITA Dkt. Seleman Sewangi na kulia ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Utamaduni Profesa Hermas Mwansoko.
Baadhi ya watumishi wa Baraza la Kiswahili Tanzania (BAKITA) wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo (hayupo pichani) alipofanya ziara ya ukaguzi wa Ofisi hizo mpya zilizopo Kijitonyama Jijini Dar es Salaam. (Picha na Benjamin Sawe wa WHVUM).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...