EMILY .T. GELLEGE
24th May 1948-----------29th Nov 1996
Leo mama ni miaka 16 kamili tangu ulipoitwa na Bwana.
Kwa kweli bado sana tunakukumbuka kwa malezi yako,upendo na mafunzo. Tulikupenda lakini MUNGU alikupenda sana zaidi kuliko sisi.
Unakubukwa sana na mwanao wa pekee Ruth,mkweo Eugene, wajukuu zako wanaokuona ktk picha tu Emily na Ervin. Pia unakumbukwa na Dada zako,wadogo zako,kaka zako,watoto zako,wajukuu zako, mawifi na shemeji zako,ndugu ,jamaa na marafiki.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake Lihimidiwe.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...