Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seiof Ali Iddi akiufunga Mkutano wa Kimataifa wa 34 wa Jumuiya ya Kiafrika ya Utumishi wa Umma na Uongozi uliokuwa ukifanyika Zanzibar Beach Resort.
Wajumbe wa Mkutano wa Kimataifa wa 34 wa Jumuiya ya Kiafrika ya Utumishi wa Umma na Uongozi { AAPAM } wakifuatilia hotuba ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakati akifunga Mkutano huo Zanzibar Beach Resort.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa pamoja na Mwentekiti wa AAPAM Bwana Abdon Agaw Jok wakielekea kwenye ukumbi wa Mkutano wa Jumuiya hiyo ulikuwa ukifanyika Zanzibar Beach Resort Mbweni. Kushoto ya Balozi ni Waziri wa Nchi Ofisi yua Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mh. Haji Omar Kheir.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...