Home
Unlabelled
WAZO LA LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wazo la leo limepiga Pentagon!
ReplyDeleteWengi tunachonga saaana hasa humu jamvini kana kwamba tupo salama na hatuwezi kufikwa na madhila yeyote yale!
Pana hawa wanandugu yaliwakuta ya kuwakuta wakatokelezea humu jamvini kuanika madhila yao wakitegemea wandugu kuwachangia, wapo waliotoa mawazo chanya na wapo waliotoa maoni hasi na kukatisha tamaa kabisa, mfano walowahi kufikwa:
1-Wadau waliokwamba Ugiriki na hatima yao huko,
2-Ustaadh mmoja aliyekuwa na wake wawili akawa anakandamiziwa huku mwenyewe akijua hilo,
3-Wandugu zetu Majuu na mshike mshike wa maisha unayowakuta,
4-Dada mmoja anayeishi mazingira magumu huku akiwa amezalishwa na wanaume zaidi ya 8!
5-Malalamiko dhidi ya Huduma kwa Wateja ktk Taasisi zetu nchini yaliyotolewa na Wanandugu nchini na waliopo Majuu walipofika nyumbani.