Wajasiria Mali wa Vikundi mbalimbali wakiwa katika kutangaza Biashara zao nje ya Ukumbi wa Mkutano katika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Nje ya Mji wa Zanzibar.
 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Mkutano wa 36 wa Baraza la Utawala la ARIPO linaloratibu na kusimamia haki za Mali za wabunifu Barani Afrika mara Baada ya kuwasili katika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort kwa ajili ya kuufungua Mkutano huo hapo Mazizini Nje ya Mji wa Zanzibar.
 Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano wa 36 wa Baraza la Utawala la ARIPO linaloratibu na kusimamia haki za Mali za wabunifu Barani Afrika waksikiliza Hotuba mbalimbali zinazotolewa ndani ya Ukumbi wa Mkutano wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort ilioko Mazizini Nje ya Mji wa Zanzibar.
 
 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akitoa Hotuba ya Ufunguzi wa Mkutano wa 36 wa Baraza la Utawala la ARIPO linaloratibu na kusimamia haki za Mali za wabunifu Barani Afrika huko katika Ukumbi wa Zanzibar Beach Resort ilioko Mazizini Nje ya Mji wa Zanzibar.

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad katikati akiwa katika Picha ya Pamoja na Viongozi wa Mkutano wa 36 wa Baraza la Utawala la ARIPO linaloratibu na kusimamia haki za Mali za wabunifu Barani Afrika huko katika Ukumbi wa Zanzibar Beach Resort ilioko Mazizini Nje ya Mji wa Zanzibar. 
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...