Ni katika mnuso wa nguvu wa harusi ya wadau Cynthia Masasi na Richard Mziray uliofanyika hoteli ya Serena Inn jijini Dar es salaam Oktoba 20, 2012.
Cynthia Masasi ni mmoja wa wadau wa awali kabisa waliotoa sapoti kubwa kwa Globu ya Jamii tokea enzi za kuanzishwa kwake mwaka 2005.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...