Mdau
Saida Msumi (Wa pili kushoto mstari wa nyuma ) akiwa na baadhi ya wanafunzi wenzake wa kitanzania,
waliokula nondozzzz katika fani mbalimbali chuoni Kampala International University, wakati wa mahafali yao
yaliyofanyika jijini Kampala, Ijumaa iliyopita.
Baadhi
ya wanafunzi wa kitanzania waliohitimu katika chuo cha Kampala International University, wakiwa katika mahafali yao
yaliyofanyika jijini Kampala, Ijumaa iliyopita.
jamani huyo dada wa kwanza mstari wa pili kushoto mbona kama namjua sio Edna mhina kama ni wewe hongera mpenzi longtime jamani toka peramiho.
ReplyDelete