Home
Unlabelled
Obama na familia yake wakishangilia ushindi leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kumbe wote tuko sawa when it comes to watoto wetu wa kike!
ReplyDeleteKasema for the time being one dog is enough heheh
Big UP Mr. President... fitna zimeshindwa
ReplyDeleteJe hawa viongozi wetu huwa wanamsikiliza speech zake huyu Bwana? Kama wanamsikiliza na bado wanafanya wanayofanya, basi kweli Mwafrika ni kizazi cha Ham bin Noah
ReplyDeleteI just love this family jamani..... Hongera sana Obama!
ReplyDelete@annon wa kwanza hapo juu. Hajasema dog, amesema daughter! kama lugha inapiga chenga ni bora ukae kimya.
ReplyDelete
ReplyDeleteWhat a victory that it was! Kama kuna kitu nimejifunza kutokana na huu ushindi-rejea wa Obama, basi ni kuwa na nia safi siku zote. Mungu amepanga mambo yake na huna haja ya kuwa na hofu, wewe fanya lolote jema ufanyalo, na lifanye kwa bidii sana sana, na mengine mwachie Mungu. Kumbuka kwamba Mungu hutumia yeyote amtakaye wakati na mahala popote pale.
By the way, mnaovizia Urais Tanzania, hata kama mnajijua kwamba watu wanafahamu kuhusu matendo yenu yasiyopendeza, hili ni fundisho kwenu.
Mimi naamini kwa dhati kabisa kwamba, kama Mungu akituchoka Watanzania kwa matendo yetu ya kutia kinyaa (pamoja na yale ya tabia yetu mbaya ya kupokea rushwa na tunatoa kura, n.k.) na kuona tunastahili ADHABU, basi sina shaka mpo mtakaoletwa kutekeleza hilo, a la Judas, ILI YATIMIE!!
Well, turejee kwa Baraka. Leo asubuhi niliona mmarekani mwenye asili ya Afrika akihojiwa na mwandishi mzungu wa BBC (in the context of the Obama's victory) kwamba anadhani ushindi huu umeleta mabadiliko gani?
Nilifurahishwa sana na jibu la jamaa huyo pale alipojibu kwamba 'hakuna lililobadilika'.
Mwandishi yule hakutegemea jibu la aina hiyo na akapigwa butwaa kidogo, ndipo jamaa yule aliendelea na kusema 'kilichotokea 2008 kimejirudia'. Kwa kweli nilimpenda sana jamaa yule kwani alikuwa akimwambia huyo mwandishi kwamba, kama walivyoshindwa wabaguzi mwaka 2008, tena wameshindwa, na kwamba bora nao sasa wabadilike.
Hakika nami nasema 'wabadilike' na wamtambue mtu kwa uwezo wake na siyo kwa rangi yake.
I also remember to have seen a confession by one of the biggest racist history has known. When he was asked what good, if any, he thought abolition of racism has brought to South Africa, he rplied without any hesitation that resented for the time South Africa wasted trough racism and discrimination against blacks and coloreds. That was Pik Botha. He realized all of a sudden that indeed South Africa wasted time apart from committing sins against the second commandment. He regretted for the time they wasted by excluding Africans (blacks) from active participation in building their country. They had access to capital, knowledge and technology they needed for development! Sorry!. Wamejifunza the hard way.
Ni bora kwa kweli wote tujifunze tena kwa kutumia ushindi wa Baraka. Ni kwa kutumia kila kipaji tulichonacho, na kumpa kila mtu nafasi na fursa anapostahili ndipo tutaendelea, tena tukisogeleana zaidi kwa amani kubwa baina yetu na ndani ya roho zetu, hadi Mwenyezi Mungu atakapoamua imetosha, na kumleta tena Massiah kuhukumu wazima na wafu.
What a wonderful world, if you live in and with love! Mungu hakukosea kuumba diversity, sisi ndiyo tunakosea sana kutoitumia na hata kuikataa.
Jioni njema.