Waziri wa Nchi Ofisi wa Rais asiye na Wizara Maalum na Mbunge wa Rungwe Mashariki, Profesa Mark Mwandosya, ambaye yuko hospitalini jijini Hyderabad, India, alikokwenda kwa uchunguzi wa afya yake na huko amekutana na Mzee Peter Kisumo ambaye amelazwa katika hospitali hiyo kwa matibabu. Habari kutoka huko zinasema wote wanaendelea vyema katika uchunguzi na matibabu.
Home
Unlabelled
profesa Mwandosya na Mzee Kisumo wakiwa hospitali India
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Mungu aendelee kuiimarisha afya yako uwe mzima na mwenye nguvu tele, Tanzania inakuhitaji sana, kiongozi shupavu uliyejaa vitendo na si maneno maneno.
ReplyDelete