Mgombea urais wa Marekani Matt Romney amehutubia wafuasi wake sasa hivi na kukubali matokeo kuwa Rais Obama ameshinda na katanabahisha kuwa kampigia simu kumpongeza na kumtaka aendelee kuongoza vyema taifa hilo kubwa. Ama hakika hii ndiyo demokrasia ya kuigwa. Asiyekubali kushindwa si mshindani...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Ni kura ngapi au asilimia ngapi ushindi unaitwa wa kishindo?

    ReplyDelete
  2. Ameshinda Kura za electoral college 303 na wakati zilikuwa zinahitajika 270 tu kushinda.

    Huo ni ushindi wa kishindo ameweka rekodi

    ReplyDelete
  3. Na sisi Tanzania tunahitaji matokeo ya Urais ya uchaguzi mkuu yatangazwe siku hiyo hiyo ya Uchaguzi.Haya mambo ya kubeba kura kupelekwa sijui wilayani yamepitwa na wakati-IWEKWE KWENYE KATIBA MPYA HII!!!!

    David V

    ReplyDelete
  4. kwa kweli mfano wa kuigaa kbsaaaa TZ tubadilike tumechokaaa

    ReplyDelete
  5. Matokeo ya Uchaguzi Marekani lei ni sawa na Mabango ya Matokeo ya Mpira Simba V/S mtibwa na Yanga V/S Azzam hapa Tanzania Jumapili ya 4-Novemba, 2012 ambapo yalisomeka hivi

    1.BARACK HUSSEIN OBAMA-270
    MITT ROMNEY-33
    2.YANGA S.C-2
    SIMBA S.C-0

    HIVYO KWA MATOKEO HAYO 'KIUJUMLA' WASHINDI NI YANGA S.C NA BARRACK H. OBAMA!!!

    ReplyDelete
  6. Woyo woyo woyo woyo woyo woyo,!!!

    BARACK OBAMA kama YANGA S.C

    MITT ROMNEY kama SIMBA S.C (chalii)

    YANGA-2
    SIMBA-0

    BINGWA YANGA NA OBAMA !!!

    ReplyDelete
  7. Obama had a 58,720,700 (50.1%) to 56,145,950 (48.4%) lead on Mitt Romney for the popular vote.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...