Katibu Mkuu mstaafu wa CCM Mzee Yusuf Makamba akihutubia katika mkutano mkuu wa nane wa CCM Kizota Dodoma, kabla ya uchaguzi wa mwenyekiti wa chama hicho
Home
Unlabelled
Siku mzee makamba alivyoweka mambo sawa CCM kule Kizota majuzi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Duuuh nimecheka sina mbavu. Makamba ni msanii mzuri sana! Japo wenye akili tunajua alitumwa kwa makusudi fulani lakini alijitahidi kuigiza. yote hiyo ni ishara kwamba CCM inajali watu wa imani zote.
ReplyDeleteDuh! Mzee makamba alikamua mbaya hii hotuba. Si ajabu kwamba watu walibadili muelekeo.
ReplyDeletemwili umesisimka mwanzo mwisho,..hasa mzee Makamba aliposisitiza kumtaja Mungu ktk uchaguzi huu. Kumbe nchi yetu hazina tunayo bado, safi sana hakuna kama Mungu na mimi japo mwanamageuzi napongeza sana CCM hasa kwa namna walivyomhuhusisha Mungu ktk hili, sasa nitawatizama kwa macho matatu hawa watu, hofu ya Mungu ndio kila kitu
ReplyDeleteNaomba utuwekee hotuba ya mh karume aloitoa hapo kizota kwenye mkutano mkuu wa ccm
ReplyDeleteHii inaitwa fungazi kazi, hakunakushindwa wala kulegea, ankal tuwekee full speech plz.
ReplyDeleteKocha na Kamati ya ufundi?!
ReplyDelete