Hii hapo ndo cypher ya pili katika series ya cypher tatu ambaye ina wasani wakubwa na underground wa Arusha.
Hiyo cypher ina Daz Naledge, Chabba, JCB, na BoyWonda wa FBG.
Hiyo cypher imerokodiwa Fnouk Studios na Sam Timber, imefanyiwa mix na Daz Naledge na beat imetengenezwa na Darsh Pandit wa Wanene Entertainment.
Video imerekodiwa na Dark-Q Photography's Darlington Mbasha na lights zimefanyiwa set-up by Nisher Entertainment.
Wanene's In The House!...


Nice work though some rappers had very slow speed that make taste of it little dull.
ReplyDelete1, ... Kula mchicha zunguka mbuyu huo ni kweli unyonyaji...*2.
ReplyDeleteHiyo ni kweli, hiyo ni kweli, hiyo ni kweeeliiiii.
2,..Mtaje mtaje kijana alikuwa mimba Sakina, mtaje mtaje kijanaa aliyekua mimba sakina dadaaa.
3, Kibanga amapiga mkoloni, kibanga ampiga mkoloni, tumsifu tumsifu, kibanga ni shujaa wetu.....