Hii hapo ndo cypher ya pili katika series ya cypher tatu ambaye ina wasani wakubwa na underground wa Arusha. Hiyo cypher ina Daz Naledge, Chabba, JCB, na BoyWonda wa FBG. Hiyo cypher imerokodiwa Fnouk Studios na Sam Timber, imefanyiwa mix na Daz Naledge na beat imetengenezwa na Darsh Pandit wa Wanene Entertainment. Video imerekodiwa na Dark-Q Photography's Darlington Mbasha na lights zimefanyiwa set-up by Nisher Entertainment. 
Wanene's In The House!...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Nice work though some rappers had very slow speed that make taste of it little dull.

    ReplyDelete
  2. 1, ... Kula mchicha zunguka mbuyu huo ni kweli unyonyaji...*2.
    Hiyo ni kweli, hiyo ni kweli, hiyo ni kweeeliiiii.

    2,..Mtaje mtaje kijana alikuwa mimba Sakina, mtaje mtaje kijanaa aliyekua mimba sakina dadaaa.

    3, Kibanga amapiga mkoloni, kibanga ampiga mkoloni, tumsifu tumsifu, kibanga ni shujaa wetu.....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...