Attention all
This morning I was looking on one of my favorite blog I use to visit it daily and I found this,
Open this link http://ritemail.blogspot.in/20 12/12/10-unusual-volcanic- craters.html
This morning I was looking on one of my favorite blog I use to visit it daily and I found this,
Open this link http://ritemail.blogspot.in/20
10 Unusual Volcanic Craters
You can not believe it, Ngorongoro Crater is not there, but Kenya they have 07. Nabiyotum Crater — Kenya.
Please take a look for yourself through the above mentioned link and you will see the size, height, depths, diameter, beauty and what those craters containing and compare with Ngorongoro you will discover the only issue we are missing and makes us not to be mentioned on that list is publicity/advertising/awarenes s and as we as poor tourism structure.
I believe Ngorongoro should be the best among them. Hao Kenya hawajatumia uchawi wowote, wala hakuna upendeleo, ni kwamba walioandaa hiyo makala wafahamu kuhusu Ngorongoro, and trust me all the details they put there they got from the internet, if they go through Tanzania official websites or blogs they see nothing to extract for them, awakuta na habari za udaku mtupu. Hata web ya taifa wameshindwa kuiupdate….
Kwanza go through our national website or Tanzania National Parks, my friend you will take hours to find pictures and details of Ngorongoro unless you google, of which inorder for someone to google your details he/she purpose to know you first.
Pia nasisi watumiaji wa hizi social networks na sisi tujitahidi kuweka picha na details za maeneo yetu kujitangaza.
Thanx
ni yangu ya moyoni
Mdau
You can not believe it, Ngorongoro Crater is not there, but Kenya they have 07. Nabiyotum Crater — Kenya.
Please take a look for yourself through the above mentioned link and you will see the size, height, depths, diameter, beauty and what those craters containing and compare with Ngorongoro you will discover the only issue we are missing and makes us not to be mentioned on that list is publicity/advertising/awarenes
I believe Ngorongoro should be the best among them. Hao Kenya hawajatumia uchawi wowote, wala hakuna upendeleo, ni kwamba walioandaa hiyo makala wafahamu kuhusu Ngorongoro, and trust me all the details they put there they got from the internet, if they go through Tanzania official websites or blogs they see nothing to extract for them, awakuta na habari za udaku mtupu. Hata web ya taifa wameshindwa kuiupdate….
Kwanza go through our national website or Tanzania National Parks, my friend you will take hours to find pictures and details of Ngorongoro unless you google, of which inorder for someone to google your details he/she purpose to know you first.
Pia nasisi watumiaji wa hizi social networks na sisi tujitahidi kuweka picha na details za maeneo yetu kujitangaza.
Thanx
ni yangu ya moyoni
Mdau
Tunachoweza ni kuweka picha za kina ray c wakiwa wamelewa madawa tu basi, tumepitwa mbali na Kenya wala hatuwezi kujifananisha nao. Hakuna jitihada yoyote ndiyo maana sishangai Kilimanjaro kusemwa ipo Kenya na Kiswahili kilianzia Kenya. Sleeping giant anaendelea kulala na kuota, akiamka anakutana na udaku, halafu anaanza kupiga domo. Hatuna patriotism kama wenzetu wa Kenya....je tunategemea tutakuwa nao sambamba?
ReplyDeletekuna ulazima gani kwa Tanzania kuiga kila wanachofanya Wakenya?
ReplyDeleteSisi Watanzania ni kama kuku wa kuguga vile, tumezubaa zubaa tu, kazo majungu na mawivu yasiyo na msingi, hatujui kujipigia debe.
ReplyDeleteInauma sana!ee mtanzania utaifa wetu uko wap?come to think of t wenye majukumu ya kutangaza utalii wetu ni nani hasa?wizara husika au mtanzania mmoja mmoja?!
ReplyDeleteWatanzania tunachojua ni umbea na majungu, vitu vya msingi hatuvitilii maanani. na shida nyingine ya watzania ni lucky of exposure, wenzetu kenya wapo kila mahali na shule wamesoma sisi huku ughaibuni asilimia kubwa ya watanzania unaokutana nao hata shule hawajaenda sasa unategema nini hapo. acheni maneno mengi watanzania wenzangu fanyeni kazi. mtanzania akiwa na nyumba na gari basi kitambi hicho, nae tayari ni tajiri kazi tu kubadilisha wanawake kila kukicha fungukeni.
ReplyDeleteMdau asante kwa maoni yako. Kwa taarifa tu Ngoronogo haiko chini ya Tanzania National Parks, na ujue Tanzania kama nchi tuna National Parks, Ngorongoro na Game reserve. Ni vema ukatembelea website ya Ngorongoro na sio Tanzania National Parks. Tanzania National Parks ina parks zake zote na picha za kila park, malazi na gharama. So usichanganye Ngorongoro na TANAPA ni mashirika tofauti.
ReplyDeleteKUHUSU SUALA LA WAKENYE KUJITANGAZA KUHUSU MLIMA KLIMANJARO NA KISWAHILI ,,MIE SIONI SABABU ZA WATU KULALAMIKA BILA KUFANYA STRATEGIES ZOZOTE CHA MSINGI NA SISI TUJITANGAZE ZAIDI KULIKO WAO KWANI SIE TUNAWEZA KUONGEA KISWAHILI KWA MUDA MREFU BILA KUCHANGANYA NA LUGHA NYINGINE ,UKIWAACHA WALE WANAOCHANGANYA KISWAHILI NA KIINGREZA MBELE ZA WABONGO WENZAO!!,,KWANINI MTU HATA HAPA KWA MICHUZI WENGI TUNAOTEMBELA HAPA WENGI NI WASWAHILI LKN UTAKUTA MTU ANAANDIKA COMMENT YAKE KWA KIINGREZA SASA KWELI HAPO UNAWEZA KUMLAUMU NANI WAKATI WEWE MWENYEWE MFANO MBOVU KABISA .HAPA BANA HAKUNA WAKUMNYOSHEA KIDOLE TUFANYE NINI ILI WASITUZIDI KWANI KWA UPEO WANGU MIE NAONA SUALA LA KISWAHILI SIE NDIO TUNAJUA ZAIDI NDIO NAVYOJUA MIE!!.KUHUSU MLIMA KILIMANJARO JAMANI SIE TUWAPE MAWAZO WATU WANAOTANGA UTALII KAMA WANAVYOFANYA KUTANGAZA UTALII KWENYE LIGI KUU YA UINGREZA KAMA MLIMA NI WETU SIKU ZOTE MAFUTA YA TAA KWENYE MAJI YANAELEA!! TUTAJUA UKWELI UKO WAPI.KILA MMOJA ATIMIZE WAJIBU WAKE KWENYE SEHEMU ANAYOFANYA KAZI ILI NCHI YETU IENDELE ZAIDI MUDA WA KULAUMIANA HAUPO.
ReplyDeleteWewe mdau uliyesema kwani kuna ulazima gani wa kufanya wananchofanya wakenya, nadhani unakosea sana, ni lazima tuwe aggressive kujitangaza ili tuweze kuvuna watalii wengi ukiangalia tuna vivutio vingi kuliko Kenya kwa nini watushinde kwa zaidi ya watalii laki tano? hao watalii laki tano tungekuwa nao lingenyanyua sana pato letu la taifa(GDP)na lingetuondoa kwenye least developed countries na watu wetu wengi wangekuwa na kipato zaidi. Tuwe na mind ya kushindana la sivyo tutabaki hapo hapo.
ReplyDeleteNafurahi kuona wadau wenye utashi na nchi yetu walivyoguswa na suala hili. Kuhusu wakenya kudai mlima Kilimanjaro uko kwao, niliwahi kusikia mahojiano na maafisa wakuu wa Tanapa wakiwa Japan kwenye maonesho ya utalii, waliulizwa Kuhusu madau hayo ya Kenya lakini cha ajabu hakuna hata mmoja aliyetaja na kusema wazi ulipo mlima Kilimanjaro.
ReplyDeleteHAO WANAOLAUMU NAO WANAPASWA KUJIULIZA WAMEIFANYIA NINI NCHI YAO? TUSIISHIE KULALAMIKA TU.KAMA WEWE UMEFUNGUKA NA KUPATA UFAHAMU HUO NA KWENDA SHULE UNACHOPASWA KUFANYA NI KU-PLAY YOUR PART SIO KULALAMIKA TU MAANA NA WEWE UNAINGIA KWENYE MKUMBO HUOHUO WA WALALAMIKAJI VIBARAZANI.
ReplyDeleteWatanzania tumekuwa wepesi sana kuwanyooshea vidole wengine huku sisi tukiwa tumeketi doing nothing. na hii mitandao ya kisasa ndio inatudumaza kupita maelekezo.
ReplyDeletenina maswali kadhaa kwenu nyie mnaolalamika;
- Wangapi kati yenu mmeshawahi hata kuwa na wazo la kwenda kutembelea national park yoyote?
- wangapi mliweza kuitekeleza azma hiyo? hata kama ilikuwa ni honeymoon.
hapo sijagusia mlima Kilimanjaro maana hapo kila mmoja ataibuka na aya yake ya kujitetea.
Kama sisi wenyewe hatuvijali na hatuvijui tunategemea wakenya watujali? Tumekuwa mabingwa wa misemo na matamko, matendo ZERO.
Binafsi sioni mantiki yoyote ile kwa sisi kushiriki haya mashindano yasiyo na kichwa wala miguu. Hili la 7 natural wonders nalo wizi mtupi.. kila mwaka 7 natural wonders, nilitegemea mwaka huu ziwe nane lakini bado zipo 7!
Serikali is sleeping kuhusu kuipa maendeleo nchi kwa ujumla wanachofanyia kazi ufisadi tu.
ReplyDeleteSerikali inabidi ianzishe kitengo cha kuendeleza na kuitangaza nchi kwa vivutio, wizara ya mali asili nahisi ndio wanapaswa kuyafanya haya.
Bila kujilinganisha hatuwezi kujua tupo wapi ivyo kujilinganisha ni muhimu, dno maana hata shule kuna mitihani.