Home
Unlabelled
147 Critics:John F Kitime
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mtayarishaji tafadhali maswali andika kwa font kubwa
ReplyDeleteAfadhali umelisema hilo, anonymous wa kwanza. Huu ni uzembe wa hali ya juu kwa mtu ambaye kazi yake ni kuandaa clips kama hizi. Hata kutumia akili kidogo kufanya maandishi yasomeke vizuri kwenye screen?
ReplyDeletePili, lugha yake inatia kichefuchefu kweli. Inashangaza kazi ya chama kama hiki hata haifanyiwi uhariri? Hapo inahitaji mtu mmoja tu wa kufanya proof-reading kusingekuwa na makosa ya kipuuzi kama ya kutokuweka space after commas, kuweka capital letters ovyo, kiswahili kibovu, kingereza kibovu (sirial number).
Watanzania tutaendelea lini???