Mkazi wa jiji la Dar es Salaam alietambulikwa kwa jina la Saidi Mustafa,akiendesha baiskeli huku akiwa amembeba mwanae mgongoni aitwae Bakari kama alivyokutwa maeneo ya Kinondoni B,jijini Dar es Salaam hivi karibuni.Baba huyu ni mfano wa kuigwa kwa kina Baba wengine,kwani jukumu la malezi ni la pande zote.(Picha na Habari leo).
Home
Unlabelled
baba bora.....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Safi, lakini asiwe kasusiwa mtoto..Maana kinondoni kuna vijimambo!!
ReplyDeleteKasusiwa au hajasusiwa wewe inakuhusu nini? cha maana jamaa analea mtoto and wote wanaonekane very contented.
ReplyDeleteHii safi sana, Cha kusikitisha ni kwamba lazima mtu aelezwe kuwa awe anatunza mwanae.
ReplyDeleteHivi mbona hata paka akizaa anatunza mwanae?nani huwa anamueleza paka?au sisi ni bure kuliko hata wanyama?
Hii ni HATARI kwa USALAMA wa MTOTO...Hata kama tuna dhamira za kufanya mambo mazuri..TUYAFANYE kwa USAHIHI tukizingatia USALAMA pia
ReplyDeleteachukue tahadhari tu na mizinga na miswaki ya daladala hapo kinondoni! anaweza akastukia dogo kaumizwa.
ReplyDelete