Mkazi wa jiji la Dar es Salaam alietambulikwa kwa jina la Saidi Mustafa,akiendesha baiskeli huku akiwa amembeba mwanae mgongoni aitwae Bakari kama alivyokutwa maeneo ya Kinondoni B,jijini Dar es Salaam hivi karibuni.Baba huyu ni mfano wa kuigwa kwa kina Baba wengine,kwani jukumu la malezi ni la pande zote.(Picha na Habari leo).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Safi, lakini asiwe kasusiwa mtoto..Maana kinondoni kuna vijimambo!!

    ReplyDelete
  2. Kasusiwa au hajasusiwa wewe inakuhusu nini? cha maana jamaa analea mtoto and wote wanaonekane very contented.

    ReplyDelete
  3. Hii safi sana, Cha kusikitisha ni kwamba lazima mtu aelezwe kuwa awe anatunza mwanae.

    Hivi mbona hata paka akizaa anatunza mwanae?nani huwa anamueleza paka?au sisi ni bure kuliko hata wanyama?

    ReplyDelete
  4. Hii ni HATARI kwa USALAMA wa MTOTO...Hata kama tuna dhamira za kufanya mambo mazuri..TUYAFANYE kwa USAHIHI tukizingatia USALAMA pia

    ReplyDelete
  5. achukue tahadhari tu na mizinga na miswaki ya daladala hapo kinondoni! anaweza akastukia dogo kaumizwa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...