Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. sherehe za TANGANYIKA msitafune maneno.

    ReplyDelete
  2. Just to let you know Tanzania is not yet 51 years old. It should be 51 years of Tanzania mainland (official) or Tanganyika (I hate this name its too colonial) Tanzania was born in 1964 we should remember this so not to offend others in Zanzibar. Na hii pia ni kero ya muungano.

    ReplyDelete
  3. Mimi katika kusoma kote, japo kichwa changu kilikuwa kibovu kwenye historia, lakini sijawahi kusikia Tanzania kama iliwahi kutawaliwa, huu ni upotoshaji wa historia yetu, kwasababu Tanzania imezaliwa mwaka 1964 wakati uhuru ulikuwa 1961...sasa ukisema Uhuru wa Tanzania munamaanisha nini? ninavyojua mie Tanganyika na Zanzibar ndio zilizotawaliwa na kupata uhuru lakini si Tanzania hivi vitu viwili kwa vitatu tofauti.....TUACHENI KUPOTOSHA HISTORIA YETU, tufanyeni kama wanavyofanya wazanzibari, ikifika siku ya mapinduzi wanasherehekea SHEREHE ZA MAPINDUZI YA ZANZIBAR sio MAPINDUZI YA TANZANIA.

    ReplyDelete
  4. Ha ha kweli kabisa nakubaliana msemaji hapo juu kuwa Tanzania haikutawaliwa iliyotawaliwa ni Tanganyika. Lakini pia sielewi Bangalore, India wanasheherekea miaka 51 na London miaka 52!!!! kipi ni kipi???

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...