Bendi maarufu ya mziki wa dansi barani Ulaya "Ngoma Africa" aka FFU Ughaibuni, Inawatakia kila la heri na fanaka waTanzania wote kwa kuadhimisha miaka 51 ya Uhuru wa Tanzania (bara).
Uongozi wa  bendi hiyo unaiombea kila la heri, Serikali ya Tanzania,Wananchi na Taifa la Tanzania.
Katika kusherekea miaka 51 ya Uhuru,Ngoma Africa band inawaombea wadau na wananchi wote popote walipo,kutumia wakati huu  kujikomboa kimawazo,na kuhakikisha kuwa tunajenga na kudumisha umoja,mshikamano na upendo wa kitaifa,hili kuleta maana kamili ya "Uhuru" wa maisha ya Mtanzania.
Katika Kusherekea miaka 51 ya Uhuru, watanzania tunapaswa zaidi kujenga
na kuziba nyufa zinazo bobomoa au kujaribu kubomomoa msingi wetu imara wa umoja,pendo na mshikamano wa kitaifa.
Mungu Ibaraki Tanzania !Mungu wabariki Watanzania !
Mungi Ibariki Serikali ya Tanzania !
Tafadhali pata burudani kamili at www.ngoma-africa.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Ahsanteni sana wana wa Makunjas kwa salamu nzuri kabisa na za Kizalendo za miaka 51 ya Uhuru!

    ReplyDelete
  2. Asanteni sana maafande wa FFU,kwa ujumbe wenu mzuri kwa taifa na watanzania

    ReplyDelete
  3. Kamanda Ras makunja mie nipo nation studium nangojea kuona ligwaride lenu
    mkiwa na magitaa mikononi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...