Home
Unlabelled
huu tunauita ni utaalam uliotukuka....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
HUYU SIDHANI KAMA AKILI YAKE IKO SAWA SAWA
ReplyDeleteWanajeshi hawashindwi kitu bwana, ingekua wahandisi wetu hapo wangeitisha mamilioni kuondoa hiyo nguzo.
ReplyDeleteHuyu aliyefanya hivi nadhani anastahili zawadi ya Nobel ya Uhandisi, kama ipo!! Michuzi warushie Oslo Norway waweze kuona ubunifu wake uliotukuka!
ReplyDeletehata hisabati ina njia nyingi sana za kufanya, ili mradi upate jibu sahii!
ReplyDeleteInaelekea huu ni mgogoro kati ya mwenye nyumba na TANESCO. TANESCO wamekataa kuondoa hiyo nguzo ya ku-support nguzo ya umeme na yeye hawezi kuigusa. Kwahiyo alichokifanya ni kuwa-accommodate TANESCO....angewakatia pesa kidogo wangetafuta namna...kazi kweli kweli....!!
ReplyDeleteHii ni kwa sababu serikali haijaweka bayana taratibu na sheria za ujengaji. Kwa afya hii aifai kwa sababu umeme ninhatari hata kwa afya. Kwa kawaida nguzo za umeme zinatakwa ziwe umbali fulani toka nyumba. Hii inaonyesha uwazi kwamba hamna sheria iliyotumika. Watu wa Ardhi, Tanesco na mwenye nyumba waende shule!
ReplyDeleteHuyu kweli ni JUHA! sasa ndo kafanya nini? sheria za ujenzi karibu na nguzo hajui?
ReplyDeleteKatika maisha, omba Mungu fedha ikutembelee baada ya kupata akiri. Hapa mmiliki ametembelewa fedha kabla ya akiri. Ajue nguzo za TANESCO zinazoagizwa 'South Africa' huoza. Zikioza gharama alizozikwepa atazirejerea kwa sababu nguzo iliyo nyumbani kwake haitakuwa na support tena. Haishangazi, TANESCO watakuja kuhamisha baadae nguzo hiyo. Kaka bati lako la Sauzi itabidi ununue jipya kuziba tundu.
ReplyDeleteHapo ni makongo jeshini. WANA KAUSEMI KAO BANA. (i) ,'JENERAL NEVER FAIL.
ReplyDelete(ii)'IF U THINK WILL FAIL, REFER (i)above that JENERAL NEVER FAIL.
Kilichofanyika hapo ni amri.
Tatizo la kujenga kwenye "Squarters". Ingekuwa kiwanja cha kupima na ramani imepitishwa na Halmashauri, hali hiyo isingekubalika.
ReplyDeleteTatizo la kujenga kwenye "Squarters". Ingekuwa kiwanja cha kupima na ramani imepitishwa na Halmashauri, hali hiyo isingekubalika.
ReplyDeleteKama nguzo hiyo inavyo dhihirisha,
ReplyDeleteKila kitu kinawezekana ndani ya Bongo Tambarale!!!
Hapo TANESCO wakale wapi?
ReplyDeleteTanesco watakuwa wanajua ni kosa isipokuwa wamewaacha ili iwe ni kama Mradi wa Saccoss kwao, kila wakichacha wanapita hapo kuchomoa hela za kula!!!