Baadhi ya Mabasi ya Abiria yafanyayo safari zake kati ya Tanga - Dar yakipita kwenye Barabara ya Bagamoyo wakati yakitokea Mkoani humo kuja Jijini Dar.
Basi la Ngorika linalotoka Arusha likipita kwenye Barabara mpya ya Msata - Bagamoyo ambayo matengenezo yake yamebakia sehemu ndogo tu kufika mjini wa Bagamoyo.
Basi la kutoka Korogwe.
Basi la Simba Mtoto likipia kwenye barabara mpya likitokea Jijini Dar kuelekea Mkoani Tanga.Barabara hii ambayo bado inafanyika matengenezo,imebakia kipande kidogo sana kukamilika.
Big up JK!!! We will remember you..
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeleteYaani barabara hata bado haijamalizika tayari imeshaanza kuweka mabonde.
Tazama hiyo picha ya kwanza juu hapo kushoto kwenye mstari wa njano ulivyopinda unaashiria bararaba imeweka bonde hapo.
Halafu eti huyo Mkandarasi ndo alisifiwa na Magufuli huyo!
Tanzania jamani!
wewe mdau kapimwe macho badala ya kusema kitu usicho na uhakika nacho.Bonde unalijua wewe?
ReplyDeleteFika uione barabara kabla hujaanza kutoa kasoro.mimi nimepita mara kadhaa barabara ni nzuri sana sio unaongelea mbali.tuachieni Tanzania yetu.JK hureeeee!!
ReplyDeleteAhhh sasa sisi wa Chalinze nyama za mapaja ya makunguru na mwewe tutamuuzia nani kama mabasi yoooote yatakata nia ya Saadani kuja Darisaalama kupitia Bagamoyo?
ReplyDeleteAhhh sasa sisi wa Chalinze nyama za mapaja ya makunguru na mwewe tutamuuzia nani kama mabasi yoooote yatakata nia ya Saadani kuja Darisaalama kupitia Bagamoyo?
ReplyDeleteDuhhh!
ReplyDeleteBundi anaunguruma njaa imewadia Chalinze!,
Ile biashara ya kuchelewesha chenji baada ya wasafiri kununua vitu madirishani mwa mabasi, sasa mnataka tukale wapi?
Mdau wa kwanza Mon Dec 24, 07:47:00 AM 2012
ReplyDeleteEnhhhe,
Watu wa Chalinze na Kibaha wanawaza kumfuata JK ili asitishe mpango wewe unasema waaa?