Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mzee, Ali Mohamed Juma (85) Mkazi wa Mkokotoni Shangani Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati alipokuwa katika ziara yae ya kuwatembelea wazee kwa ajili ya kuwajulia hali, leo. Mzee huyo anasumbuliwa na ugonjwa wa kuvimba miguu kutokana na umri.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mzee, Ali Mohamed Juma (85) Mkazi wa Mkokotoni Shangani Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati alipokuwa katika ziara yae ya kuwatembelea wazee kwa ajili ya kuwajulia hali, leo. Mzee huyo anasumbuliwa na ugonjwa wa kuvimba miguu kutokana na umri.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mzee, Ali Mohamed Juma (85) Mkazi wa Mkokotoni Shangani Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati alipokuwa katika ziara yae ya kuwatembelea wazee kwa ajili ya kuwajulia hali, leo. Kushoto ni Mke wa Makamu wa Rais, Mama Asha Bilal. Mzee huyo anasumbuliwa na ugonjwa wa kuvimba miguu kutokana na umri. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifurahia kumbeba mtoto, Rajab Abdulhamid Rajab (meizi 8), wakati alipokuwa katika ziara yae ya kuwatembelea wazee kwa ajili ya kuwajulia hali, leo katika Kijiji cha Mkokotoni Shangani Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mzee Haji Machanu Ngwali, Mkazi wa Mbalungini, Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati walipokuwa katika ziara ya kuwatembelea wazee kwa ajili ya kuwajulia hali, leo. 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, na mkewe Mama Asha Bilal, wakitoka ndani kwa Haji Machanu, Mbalungini Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati walipokuwa katika ziara ya kuwatembelea wazee kwa ajili ya kuwajulia hali, leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akishiriki kuomba dua na Mzee Juma Muhidin Mohamed, Mkazi wa Mkokotoni Shangani Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati alipomtembelea kumjulia hali wakati akiwa katika ziara yake ya kuwatembelea wazee kwa ajili ya kuwajulia hali, leo. Mzee huyo anasumbuliwa na ugonjwa wa miguu. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, na mkewe Mama Asha Bilal, wakizungumza na Mzee Maalim, Sheha Haji Machame, Mkazi wa Mkokotoni Shangani Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati walipokuwa katika ziara ya kuwatembelea wazee kwa ajili ya kuwajulia hali, leo.Mzee huyo anasumbuliwa na ugonjwa wa kuuma kwa miguu.Picha Zote na OMR

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Nimeipenda sana hii,hakika imeongeza nguvu na furaha kwa wazee wote waliotembelewa nadhani ushahidi upo wazi ktk nyuso zao.

    ReplyDelete
  2. Inavutia sana, naomba asiishie kuwajulia hali tu, awakumbuke kwa matibabu ya maradhi yanayowasumbua, na pia hata makazi yao hayaridhishi.

    ReplyDelete
  3. KAMA VONGOZI WOTE WANGEKUA WANAFANYA KAMA HVI , TUNGEISHI KWA MAPENZI ZAIDI

    ReplyDelete
  4. Asnte mzee Bilal, tunakuomba pia angalia makazi , afya za wazee hawa.

    Asante sana Mzee Mungu akubariki

    ReplyDelete
  5. himekaa vizuri hii...........kuwakumbuka walioijenga zanzibar

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...