Mjasiriamali kutoka Lindi, Bwana Amir Chembe (kushoto) akitoa maelezo ya bidhaa zake kwa wananchi waliotembelea banda la Tanzania tarehe 3/12/2012 kwenye maonesho ya 13 ya Nguvu Kazi/Jua kali yanayoendelea katika viwanja vya Musee Vivant mjini Bujumbura.
Wajasiriamali kutoka Zanzibar, wakiwaonesha wananchi waliotembelea banda la Tanzania tarehe 3/12/2012 jinsi ya kutengeneza sabuni ya maji kwenye maonesho ya 13 ya Nguvu Kazi/Jua kali yanayoendelea katika viwanja vya Musee Vivant mjini Bujumbura.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...