Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Umemudu interview SUGU, hakika upo vizuri kaka! BIG UP...

    ReplyDelete
  2. Daah, blaza kwenye machinga complex umeongea kaka.

    ReplyDelete
  3. john please, wanawake hawakuletwa nchini kufurahisha wanaume. Uko century gani wewe? Mama Simba and your UWT, please educate this boy!!

    ReplyDelete
  4. Machinga complex...umemalizaaaa..hapo nadhani serikali isione aibu ichukue idea hiyoo moja kwa moja!!

    ReplyDelete
  5. Halafu si kweli kwamba Ulaya na Marekani mbunge lazima awe tajiri.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...