Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Zanzibar Yussuf Omar Chunda akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Mjadala wa Waandishi wa Habari kuhusu Ukiukwaji wa Uhuru wa Vyombo vya Habari,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Habari Maelezo Kikwajuni Mjini Zanzibar.
Mwandishi Mkongwe Salim Said Salim akiwasilisha Mada kuhusu Dhana ya Ukiukwaji wa Uhuru wa Vyombo vya Habari katika Mjadala wa Waandishi wa Habari kuhusu Ukiukwaji wa Uhuru wa Vyombo vya Habari,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Habari Maelezo Kikwajuni Mjini Zanzibar.
Meneja wa Baraza la Habari Tanzania Ofisi ya Zanzibar (MCT)Suleiman Seif akifafanua jambo katika Mjadala wa Waandishi wa Habari kuhusu Ukiukwaji wa Uhuru wa Vyombo vya Habari,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Habari Maelezo Kikwajuni Mjini Zanzibar.
Mwandishi wa Habari wa Shirika la Habari la Zanzibar (ZBC)Suleiman Almas akitoa mchango wake katika Mjadala wa Waandishi wa Habari kuhusu Ukiukwaji wa Uhuru wa Vyombo vya Habari,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Habari Maelezo Kikwajuni Mjini Zanzibar.
Meneja wa Udhibiti na Viwango wa Baraza la Habari Tanzania (MCT)John Mireny akifafanua jambo katika Mjadala wa Waandishi wa Habari kuhusu Ukiukwaji wa Uhuru wa Vyombo vya Habari,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Habari Maelezo Kikwajuni Mjini Zanzibar.PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...