Taarifa
kwa watanzania wanaoishi US hususan maeneo ya karibu na Las Vegas, kuanzia
sasa mpaka tarehe 19 December kuna activities mbalimbali za Miss Universe
- baadhi ziko free to the public, baadhi za kulipia! Naomba wenye
nafasi na uwezo waende kumshangilia mrembo wetu kutoka Tanzania Winfrida Dominique - kama mnavyojua support ni muhimu. Kwa wale wenye uwezo December 19 -
fainali ya Miss Universe itafanyika Planet Hollywood Resort and Casino.
Home
Unlabelled
Mrembo wetu Winfrida Dominique anahitaji sapoti ya nguvu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
mashindano ya miss universe? na warembo wote waliopo bongo amechaguliwa huyu?
ReplyDeletehii inaonyesha dhahiri kama ule msemo kizuri chajiuza, walio wazuri wa kweli hawaoni haja ya kuingia katika mashindano kama haya. Pia inaonyesha dhahiri kuwa majaji hawajui wanachokifanya katika kuchagua mrembo.
Sijali kama michuzi hutoweka hii, ukweli uko pale pale tu!!!
Ahaaaa ahaaaa naona dada ameenda kuvaa nguo, maana jamaaa waligoma kumpa kura mpska akavae nguo katika picha ya awali. Amekaa vizuri. Poa
ReplyDeleteWe mdau wa kwanza waingereza wanasema "Beauty is in the eye of the beholder".Binti hachukizi lakini kuna wengine watamwona ni bomba. Enzi zetu asingeweza kushinda kwani ilibidi awe amejaza na ana WO*3, vijana wa siku hizi wanapenda vimbaumbau, wanaiga ulaya na marekani, Mimi mpingo wa bongoland, na bado nausudu binti aliyejaza licha ya kwamba nipo ughaibuni miaka ishirini na ushee.
ReplyDeleteMdau wa tatu anony Fri Dec 07, 06:15:00 PM 2012
ReplyDeletea
...Hahahaha, licha ya miaka 20 ya kukaa Majuu ukiwa kama 'Maganga' au 'Mbonde' kupenda WO*3 jadi yako haikupotea!
Kweli kila mmoja ana mahitaji yake, wengine wanapenda vimbau mbau , wengine wanataka wanaoburuza mikia!
ReplyDelete