Akiongea na vyombo vya habari Balozi wa Uturuki nchini Mh.  Ali Davutoglu kuhusu maonesho ya mitindo kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa kituo cha kulelea Watoto yatima na waishio katika mazingira magumu (CHAKUWAMA) yatakayofanyika Jumamosi trh 08/12/2012, Serena Hoteli jijini Dar es Salaam. Katikati ni Bi Yasim(mke wa balozi wa uturuki) akiwa amembeba mwanae anayemlea katika kituo hicho na kulia kwake ni Katibu wa kituo cha CHAKUWAMA.Hassan Hamisi
 Balozi wa Uturuki nchini  Mh.  Ali Davutoglu na mkewe Bi. Yasim Davutoglu wakiwagawia zawadi watoto wanaolelewa katika kituo cha CHAKUWAMA Sinza jijini Dar es Salaam walipotembelea kituo hicho hapo jana.
Wakiwa katika picha ya pamoja Balozi na mke wake pamoja na baadhi ya

hao wakifurahia jambo. watoto wanaolelewa katika kituo hicho ndani ya chumba wanacholala watoto.
Pichani juu na chini ni sehemu ya mazingira ya ndani katika vyumba wanapolala watoto wa kituo cha CHAKUWAMA kilichopo Sinza,jijini Dar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hivi shelf mamamia, kazi kwelikweli nadhani kuna haja ya kuwataja hawa waliokwiba na kuficha mamilioni nje kama hizi ndio picha halisi za huko home.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...