Mnuso kama kawaida yetu Tarehe 24-Dec-2012 ni siku ya kuwakilisha X-Mass eve Ndani ya Oslo Norway. Ni siku ya kuwakaribisha nyote ambao mupo karibu na Brugata 1 Oslo, tutakuwa na vyakula mbali mbali
pia vinywaji aina tofauti hili kukamilisha sherehe hii. Basi wewe kuwa karibu na sisi pia mjulishe mwenzio kuwa tunamambo mbali mbali ya kiutamaduni na Music ya kizazi kipya yani Bongo Flavaz remix na Azonto
Style, Afro beat. Nk yani Burudani tere ndani ya Buffalo Bristor jina la zamani Sorento Oslo Norway.
Kiingilio ni Chakula na kinywaji 150 kr. na after kl.00-03 ni 50 kr.
More inf:- Contact- +47 96872483
Dj Pred a.k.a Abdul Mpily.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...