Mwenyekiti wa Kamati ya Utendaji ya Baraza la Taifa la Biashara (TNBC), Balozi Ombeni Sefue ambaye pia ni Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue (kushoto) akimkabidhi Mwenyekiti mstaafu wa kamati hiyo, Bw. Phillemon Luhanjo, zawadi maalum iliyotolewa na kamati kama sehemu ya kutambua mchango wake katika hafla ya kumuawaga kama mwenyekiti iliyofanyika jijini Dar es salaam juzi usiku. Anayeangalia ni katibu Mkuu ofisi ya Waziri Mkuu, Bw. Peniel Lyimo.
Home
Unlabelled
Mwenyekiti wa Zamani wa Kamati ya Utendaji ya Baraza la Taifa la Biashara aagwa rasmi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...