Ngoma ya Odyssey ya 'Going Back to My Roots' ilikuwa moto wa kuotea mbali enzi hizo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Duh Nimekumbuka mbali Saaafi sana.
    Ona heshima ya vivazi kwa akina dada!

    ReplyDelete
  2. Hapa michuzi umenikuna kwelikweli nilikuwa naimba kachumani kachumani acha kabisa

    ReplyDelete
  3. huyu mdau wa mwanzo aliyetoa comment zake lazimaa atakuwa kapitwa na wakati miaka imekimbia kama gari moshi,unataka tuvae hivi wanawake wa kileo kweli upo katika karne hii,wacha weeee

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...