Ngoma ya reggae iliyotamba sana kwenye kumbi za disko enzi hizo ni hii ya Alpha Blondy wa Ivory Coast ya Brigadier Sabari. Ankal anasema hajawasahau Jah Pipoooozzzz....!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Nilisikia ya kuwa Alpha Blondy ameachana na bangi na sasa ni Ustaadhi na Mwalimu wa Maddrassa,

    Hivi ni kweli?

    Kama ndivyo Inshallah itakuwa kheri sana!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...