Bia ya Ndovu Special Malt inayotengenezwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),mwishoni mwa wiki iliyopita ilifanya party kubwa ya kuuaga mwaka wa 2012 na kuukaribisha mwaka 2013 ikiwa ni maalum kwa wadau wake,iliyofanyika kwenye Bwalo la Polisi (police officers mess),Masaki jijini Dar es Salaam.ambapo wadau mbalimbali waliweza kuhudhulia hafla hiyo.Picha ya juu ni Mkurugenzi wa Masoko wa TBL,Bi. Kushila Thomas akiwa na mumewe.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...