Wapendanao Frank Komba na Sanura Haji Kihemka wakipozi wakati wa mnuso wa nguvu walioandaa kwenye ukumbi maarufu wa Stallion Garden ulioko Mikocheni Mlalakuwa jijini Dar es salaam baada ya kumeremeta kwao usiku wa kuamkia leo
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Bw Salva Rweyemamu akipozi na maharusi pamoja na baadhi ya wafanyakazi wenzie Bi Harusi katika mnuso huo wa kukata na shoka
Maharusi wakila pozi na wadau wao wa karibu
Maharusi na wadau
Familia ikijumuika na maharusi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...