Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Uingereza
Nchini Tanzania Diane Corner,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar
kusalimiana na Rais leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Uingereza
Nchini Tanzania Diane Corner,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar
kusalimiana na Rais leo.
Huyo balozi ni wa jinsia gani?
ReplyDeleteWewe mdau wa kwanza, je, Diane ni jina la kike au kiume?
ReplyDelete