Viongozi wa Tawi la CHADEMA DMV walipokuwa katika sherehe ya kuuaga mwaka 2012 na kukaribisha mwaka mpya 2013 M4C imefana sana, siku ya Jumamosi Desemba 22, 2012  katika ukumbi wa Mirage Hall iliokuwepo maeneo ya Hyattsville Maryland nchini Marekani.

Viongozi wa CHADEMA DMV waliweza kukamilisha  yale walioyapanga katika mkutano mzima ulioandaliwa na tawi hilo la CHADEMA ndani ya uongozi  mpya uliochaguliwa na wana-DMV kwa upande wa Chama hicho ambao  siku ya Jumamosi ya Desemba 22,  baadhi ya viongozi hao waliongea mambo muhimu kuhusu maendeleo ya chama hicho pamoja na mustakabali mzima  wa yanaoendelea nchini Tanzania.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. CHADEMA mshindwe wenyewe kwani 2015 nchi ni yenu, kazeni BUTU nawaaminia wakubwa!

    ReplyDelete
  2. Mngemwalika Mshindi wenu wa Uraisi wa Rufaa ya Mahakama Godbless Lema!

    ReplyDelete
  3. Ohhh,

    Ninyi mkipata Uraisi ile, wizi wa kuku tu, hakuna Upelelezi wala Kesi Mahakamani mtu unakatwa masikio kawoshi kwa Mapanga!!!

    Chadema ikipata Uraisi Tanzania mimi nahamia kwenye Sayari nyingine anga za juu ni vile ktk nchi karibu zote za dunia Chadema ina Matawi kama hapo DMV -Washington-DC, Marekani ni heri nitafute Sayari ingine nje ya dunia nikaishi ambapo hakuna Tawi la Chadema!

    Uraisi 2015 mtapata ninyi?

    ReplyDelete
  4. Chadema tutapambana hatutoshindwa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...