Familia ya ndugu Hassan Gobos wa Dar es
Salaam ina wataarifu ndugu, jamaa na marafiki wote kuwa shughuli ya khitma na
arobaini ya marehemu mama yao mpenzi Nuru Mterekezo itafanyika siku ya jumapili
tarehe 9 December nyumbani kwao Sinza Mori Dar es Salaam.
Kwa taarifa zaidi tafadhali wasiliana na:
Ibrahim Gobos 0787 208060/0713246215
Zena Gobos
0712 743994
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...