Shindano la kumsaka mwanamitindo mweye sifa za kipee yaani Unique model limeanza kuchukua sura mpya baada ya washiriki kuanza kuwa katika hali ya ushindani sana tofauti na msimu wa kwanza 2010.
Mchuano huu utamalizikwa kwa kupigwa kwa bonge la shoo siku ya fainali mwishoni mwa mwezi ikiwa tarehe na mahari itakapofanyika kuachwa kama suprise kwa wadau wa mitindo nchini Tanzania.
Wadau wametakiwa kuendelea kutizama Dtv,kusikiliza clouds fm,kusoma gazeti la Tanzania Daima,gazeti la Kiu na kuperuzi blogs za Michuzi,Jiachie,Mtaa kwa Mtaa na Unique Entertainment blog kwa habari na picha.
|
Home
Unlabelled
Unique model 2012 sasa mambo moto moto...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hawa wanaojifanya mamodo wanatitia kichefu chefu. Yuck!
ReplyDeleteKwanini mbona mie naona poa tu walau hata wawe bize kidogo na kupata mwanga fulani.
ReplyDelete