Shindano la kumsaka mwanamitindo mweye sifa za kipee yaani Unique model limeanza kuchukua sura mpya baada ya washiriki kuanza kuwa katika hali ya ushindani sana tofauti na msimu wa kwanza 2010. 


Mchuano huu utamalizikwa kwa kupigwa kwa bonge la shoo siku ya fainali mwishoni mwa mwezi ikiwa tarehe na mahari itakapofanyika kuachwa kama suprise kwa wadau wa mitindo nchini Tanzania. 

Wadau wametakiwa kuendelea kutizama Dtv,kusikiliza clouds fm,kusoma gazeti la Tanzania Daima,gazeti la Kiu na kuperuzi blogs za Michuzi,Jiachie,Mtaa kwa Mtaa na Unique Entertainment blog kwa habari na picha.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hawa wanaojifanya mamodo wanatitia kichefu chefu. Yuck!

    ReplyDelete
  2. Kwanini mbona mie naona poa tu walau hata wawe bize kidogo na kupata mwanga fulani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...