Mwenyekiti wa Tasisi ya Wanawake na Maendeleo Tanzania (WAMA),Mama Salma Kikwete akikata utepe kama ishara ya kukabidhi vitanda 80 kwa uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam leo.kulia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa jamii Dk. Hussein Mwinyi na kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Muhimbili,Dk. Marina Njelekela.
Mwenyekiti wa Tasisi ya Wanawake na Maendeleo Tanzania (WAMA),Mama Salma Kikwete akisoma hotuba yake mara baada ya kukabidhi vitanda 80 katika hospitali ya Muhimbili leo.kushoto ni Waziri wa Afya na Ustawi wa jamii,Dk. Hussein Mwinyi na kulia ni Mkurugenzi wa Hospitali ya Muhimbili,Dk. Marina Njelekela.
Waziri wa Afya na Ustawi wa jamii Dk. Hussein Mwinyi akisoma hotuba yake.
Mkurugenzi wa Hospitali ya Muhimbili,Dk. Marina Njelekela akimshukuru Mama Salma Kikwete mara baada ya kupokea msaada wa vitanda hivyo leo.
Baadhi ya wauguzi wa hospitali ya Muhimbili wakishuhudia tukio hilo.
Mwenyekiti wa Tasisi ya Wanawake na Maendeleo Tanzania (WAMA),Mama Salma Kikwete akiongozwa na Mkurugenzi wa Hospitali ya Muhimbili Dk. Marina Njelekela (kushoto) wakati wakielekea wodini kuwatembelea wagonjwa.kulia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk. Hussein Mwinyi na katikati ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala Raymond Mushi.
Mwenyekiti wa Tasisi ya Wanawake na Maendeleo Tanzania (WAMA),Mama Salma Kikwete akimjulia hali Anna Razalo kutoka Nyegezi Mwanza mmoja wa wagonjwa wa moyo aliyelazwa hospitalini hapo.PICHA NA FULLSHANGWEBLOG.COM

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...